• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

WAZIRI BASHUNGWA AMALIZA MGOGORO WA ENEO ITAKAPOJENGWA HOSPITALI YA WILAYA MOSHI

Posted on: May 12th, 2022

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amebariki mapendekezo ya Kamati ya Fedha, Uongozi  na Mipango  ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya kujengwa kwa Hospitali ya Wilaya katika Kijiji cha Chekereni Kata ya  Mabogini mkoani Kilimanjaro.

Akikagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Waziri Bashungwa amesema Kamati ya Fedha , Uongozi na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi  tarehe 19 Agosti, 2021 walifanya maazimio kuwa hospitali ya wilaya ijengwe Kata ya Mabogini.

Waziri Bashungwa ameendelea kufafanua kuwa,  lengo la Serikali ni kuhakikisha wananchi wote wanapata huduma bora za afya hivyo kamati hiyo ipo sahihi  kulingana na miongozo iliyowekwa na Serikali.

Amesema, vigezo vilivyotumika kuchagua eneo hilo ni uwepo wa eneo ambalo halina mgogoro, wingi wa watu, jografia ya eneo, umbali wa eneo ambao ni kilomita 35 kutoka Moshi Mjini na uduni wa taasisi zilizopo katika Kata ya Mabogini tofauti na Kata ya Kilua Vyunjo Kusini ambapo mchakato wa kukabidhi  ardhi kwa Mkurugenzi  bado unaendelea kwa kuwa bado wananchi hawajavuna mazao yao.

Amesema,Serikali ya Awamu ya Sita iliahidi kupeleka maendeleo nchi nzima bila ubaguzi  kwa kuwa wananchi wote wanahitaji kupata huduma bora za afya hivyo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kuhakikisha anakamilisha mchakato wa kijiji kukabidhi ardhi na katika eneo hilo na kijengwe kituo cha afya katika Kata ya Kilua Vyunjo Kusini ili wananchi waweze kupata huduma za afya kwa karibu.

Waziri Bashungwa amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mhandisi Daniel Kileo  kuhakikisha anaanza ujenzi wa Hospitali ya Wilaya mara moja katika Kata ya Mabogini  na kumuagiza Meneja wa TARURA Mkoa  kuhakikisha wanajenga barabara katika eneo linalojengwa hospitali hiyo.

Aidha, mgogoro wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya umedumu kwa takribani miezi tisa  ambapo tayari kiasi cha shilingi milioni 500 zilishatengwa kwa ajili ya ujenzi huo katika bajeti ya mwaka 2021/2022.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA December 03, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA WAJUMBE WA KAMATI YA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI January 20, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU KUANZA KWA MCHAKATO WA KUCHUNGUZA NA KUGAWA AU KUBADILI MAJINA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI February 27, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA NAFASI YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II March 18, 2025
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAMA SAMIA LEGAL AID COMPAIGN YAFIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    January 30, 2025
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI

    December 17, 2024
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA VUNJO NA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA MAAFISA WATENDAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    December 04, 2024
  • UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

    October 11, 2024
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.