• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

DC MNZAVA ASISITIZA WAZAZI KUPELEKA WATOTO SHULE

Posted on: January 15th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe.Godfrey Mnzava amefanya ziara ya kukagua mapokezi ya wanafunzi kwa muhula mpya wa masomo 2026, katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.


Ziara hiyo imefanyika leo 15, Januari 2026, ambapo Mkuu wa Wilaya amekagua Shule ya Sekondari Mabungo iliyopo katika Kijiji cha Mabungo Kata ya Kirua Vunjo Kusini, pamoja na Shule ya Msingi Dr. Shein iliyopo Kitongoji cha Njiapanda Maghaeibi Kata ya Njiapanda.


Katika ziara hiyo, DC Mnzava ameendelea kusisitiza maelekezo ya Serikali ya kuwataka waalimu kuendelea kuwapokea wanafunzi pasipo kikwazo chochote kile kwani nia ya Serikali ni kuona watoto wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza  pamoja na wale waliokidhi vigezo vya  kuandikishwa darasa la awali na darasa la kwanza wanapata elimu.


"Ni maelekezo ya Serikali inayoongozwa na Rais wetu Samia Suluhu Hassan watoto wote wapokelewe Shule, sare isiwe kikwazo cha kuzuia watoto kupata haki yao ya Msingi ya kupata elimu, Hilo ni suala la wazazi na walezi wao, nyinyi Waalimu wapokeeni waanze masomo" Amesema DC Mnzava


Aidha, Katika ziara hiyo DC  Mnzava alipata wasaa wa kuzungumza na wanafunzi, ambapo aliwaasa kusoma kwa bidii na kuepuka vishawishi ili waje kulisaidia Taifa, kwani Serikali imeeandaa mazingira mazuri ya kusoma na kujifunzia.


Wakizungumza, kwa niaba ya wanafunzi wenzao wa kidato cha kwanza Prisca L.Mwanyika na Imani B.Mmbaga  wa Shule ya Sekondari Mabungo wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa shule hiyo kwani  imewaondolea changamoto ya kutembea umbali mrefu kwenda shule.


Aidha, Katika ziara hiyo DC Mnzava ameendelea kusisitiza wazazi ambao bado hawajaandikisha watoto wao Shule, kupeleka watoto wao shule kwani hakuna kizuizi chochote.







Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU December 31, 2025
  • KATAZO LA KUPAKIA, KUSHUSHA ABIRIA NA MIZIGO NJE YA VITUO VYA MABASI MAMLAKA YA MJI MDOGO WA HIMO. January 02, 2026
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • RC BABU AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI MOSHI DC, WAASWA KUZINGATIA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU.

    January 20, 2026
  • DC MNZAVA ASISITIZA WAZAZI KUPELEKA WATOTO SHULE

    January 15, 2026
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI

    January 02, 2026
  • WASIMAMIZI,WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALA KIAPO KUELEKEA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI

    January 03, 2026
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.