• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

RC BABU AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI MOSHI DC, WAASWA KUZINGATIA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU.

Posted on: January 20th, 2026

kuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Nurdin Babu amefungua rasmi mafunzo ya siku mbili kwa Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, leo mapema Januari 19, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri.


Mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo Madiwani, yameendeshwa na wawezeshaji Kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, ambao wamewasilisha mada mbalimbali zinahusu kanuni, Taratibu, Sheria na Miongozo Katika Utekelezaji wa majukumu ya Madiwani.


Akizungumza na Madiwani hao Mhe.Babu  amewataka madiwani kwenda kuisimamia Halmashauri kwa kujiepusha na migogoro, kusimamia ukusanyaji mapato na fedha, Pia kuhakisha wanasimamia utunzaji wa mazingira ili kupambana na mabadiliko ya tabianchi.


"Mafunzo haya yawe muongozo Katika utendaji kazi zenu na baraza kwa ujumla, kasimamieni ukusanyaji wa mapato hapo mnaweza mkaangalia vipaumbele vyenu Mfano mnaweza jenga ofisi za kisasa za kata"  Amesema RC Babu


Akiwasilisha moja ya mada Dkt Muhsin Danga Amesema pamoja na wajibu wa Diwani kuhakikisha ulinzi na usalama, kuimarisha huduma za kijamii pamoja na demokrasi, Pia Madiwani Wana wajibu kuzingatia utawala bora kwa  kuwashirikisha Wananchi Katika shughuli za maendeleo, ili Wananchi wajue kazi zinazofanywa na serikali yao.


Kwa upande wake Afisa Tawala Mwandamizi Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mashaka Makuka ambaye pia ni mratibu wa Mafunzo kitaifa aliwapongeza madiwani hao kwa kuaminiwa na Wananchi Katika nafasi hizo, huku akiwataka kuwalipa Wananchi kwa kuchapa kazi kwa bidii.


Halikadhalika, Akizungumza kwa niaba ya Madiwani Mwenyekiti Wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi Mhe. John Mapato Meela amasema mafunzo hayo ni muhimu kwani yatawajenga ili waweze kutekeleza majukumu yao pamoja na  kuisimamia Halmashauri ipasavyo.




Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU December 31, 2025
  • KATAZO LA KUPAKIA, KUSHUSHA ABIRIA NA MIZIGO NJE YA VITUO VYA MABASI MAMLAKA YA MJI MDOGO WA HIMO. January 02, 2026
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • RC BABU AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI MOSHI DC, WAASWA KUZINGATIA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU.

    January 20, 2026
  • DC MNZAVA ASISITIZA WAZAZI KUPELEKA WATOTO SHULE

    January 15, 2026
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI

    January 02, 2026
  • WASIMAMIZI,WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALA KIAPO KUELEKEA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI

    January 03, 2026
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.