• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 59 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR MKOANI KILIMANJARO

Posted on: April 25th, 2023

Mkoa wa Kilimanjaro wafanya Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Siku ya Muungano wa Tanzanyika na Zanzibar tarehe 25/04/2023 ambao kimkoa ulifanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Kitongoji cha Miwaleni Kijiji cha Koresa Kata ya Kirua Vunjo Kusini kwenye Ukumbi wa Shule ya Msingi Miwaleni ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. NURDIN HASSAN BABU.Uzinduzi huo ulioambatana na zoezi la upandaji miti takribani 1000 katika eneo la chanzo cha maji Miwaleni ulishuhudiwa na Viongozi Mbalimbali wa Mkoa Kilimanjaro akiwemo Katibu Tawala wa Mkoa Mhe. Tixon Nzunda,Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe. Kisare M. Makori,Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Mhe. Abdallah Mwaipaya,Katibu Tawala wa Wilaya ya Moshi Mhe, Angelina Marco na viongozi wengine mbalimbali.Wanachi waliofurika katika eneo hilo kwa nafasi zao nao waliweza kushiriki ipasavyo zoezi hilo la upandaji wa miti.






Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO October 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHA UCHAGUZI KATIKA KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DC MOSHI AWATAKA VIONGOZI KUWA MABALOZI WA KAZI ZA SERIKALI

    December 02, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KATIKA ZAHANATI YA NJIAPANDA

    November 21, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YAFANYA ZIARA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI NA KUJIFUNZA JUU YA UKUSANYAJI WA WAPATO YA ZAO LA KAHAWA.

    November 17, 2025
  • MAKARANI WA UCHAGUZI WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO

    October 25, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.