• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

Posted on: October 7th, 2025

Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi wamepatiwa mafunzo kutoka UTT Asset Management and Investor Services (UTT AMIS) kwa ajili ya kutoa elimu ya uwekezaji kwa watumishi wa halmashauri.

Elimu hiyo ililenga kuwajengea uelewa watumishi kuhusu fursa zinazopatikana kupitia mifuko ya uwekezaji wa pamoja (Collective Investment Schemes), ikiwemo jinsi ya kuwekeza katika miradi yenye tija, faida za uwekezaji wa muda mfupi na mrefu, pamoja na namna ya kuandaa mipango ya kifedha binafsi.

Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Afisa Biashara na Uendeleshaji - UTT Bi. Victoria Burra alisema taasisi yao imejipanga kutoa elimu hiyo kwa watumishi wa umma na wananchi kwa ujumla katika mikoa mbalimbali nchini, ili kujenga taifa lenye utamaduni wa uwekezaji na akiba.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Ndugu Shadrack Mhagama aliishukuru UTT AMIS kwa uamuzi wa kuwaletea elimu hiyo watumishi wake, akibainisha kuwa ni fursa muhimu ya kuwasaidia kupanga maisha yao ya kifedha kwa busara zaidi.

Mhagama aliongeza kuwa Halmashauri itaendelea kushirikiana na taasisi za kifedha na uwekezaji ili kukuza uelewa wa watumishi wake katika masuala ya fedha, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi.

Mafunzo hayo ni sehemu ya kampeni ya UTT AMIS ya kutoa elimu kwa umma katika mikoa mbalimbali nchini, ikilenga kuhimiza nidhamu ya fedha na kuchochea ushiriki wa wananchi katika sekta ya uwekezaji.

Matangazo

  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA KWA MAJIMBO YA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI. October 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDUKA KWA NAFASI YA DEREVA II TAREHE 09.02.2024 February 09, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    October 07, 2025
  • WATAINIWA WA KIDATO CHA SITA 2025 MOSHI DC WAFAULU KWA ASILIMIA 100

    July 08, 2025
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2025 HALMASHAURU YA WILAYA YA MOSHI

    May 30, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MOSHI AKUTANA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

    June 03, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.