• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

SERIKALI YAGAWA VISHIKWAMBI NA SARE KWA MAAFISA UGANI WA KILIMO HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

Posted on: August 15th, 2024

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi imegawa Vishikwambi pamoja na Sare kwa Maafisa ugani wa kilimo wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Vishikwambi hivyo vimekabidhiwa leo hii tarehe 15/08/2024 na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Ndugu Shadrack Mhagama katika Ukumbi wa Halmashauri.


Akikabidhi Vishikwambi hivyo Mkurugenzi Mtendaji amewataka Maafisa Ugani wa Kilimo kuzingatia malengo makuu ya vitendea kazi hivyo ikiwemo kuhakikisha usajili wa wakulima kwenye Mifumo ya pembejeo unafanyika kwa wakati na kwa ufanisi unaotakiwa.

Pili upatikanaji na usambazaji wa taarifa muhimu za shughuli za ugani zinapatikana kwa wakati.

Tatu kuhakikisha uchukuaji matukio mashambani na utoaji wa elimu kwa njia ya video unafanyika kwa wakati.

Nne kurahisisha usambazaji wa Teknolojia za kisasa za kilimo pamoja na kupima ukubwa wa maeneo kwa kutumia program tumizi ya GPS kwani Vishikwambi hivyo vimeungwa na program ya GPS.


Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO October 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHA UCHAGUZI KATIKA KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAKARANI WA UCHAGUZI WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO

    October 25, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI AWAFUNDA WATENDAJI KATA NA VIJIJI UKUSANYAJI WA MAPATO

    October 18, 2025
  • UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    October 07, 2025
  • WATAINIWA WA KIDATO CHA SITA 2025 MOSHI DC WAFAULU KWA ASILIMIA 100

    July 08, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.