• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

SERIKALI ITAENDELEA KUWAPUNGUZIA WAKULIMA GHARAMA ZA UZALISHAJI

Posted on: July 26th, 2024

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amesema Serikali itaendelea kuwawezesha wakulima kuzalisha kwa uhakika wa gharama nafuu ili waweze kupata faida watakapouza mazao yao.

Amesema tarehe 26 Julai 2024 alipozungumza na wananchi wa kijiji cha Umbwe Kati, Kata ya Kibosho Magharibi Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro baada kugawa miche ya kahawa iliyozalishwa na Bodi ya Kahawa.

“Ugawaji wa miche hii bure kwa wakulima ni mwendelezo wa kumpunguzia mkulima gharama za uzalishaji. Niwaambie kuwa Serikali itaendelea kumpunguzia mkulima gharama za mahitaji mengine ikiwemo viuatilifu na pembejeo zingine,” amesema Mhe. Silinde.

Akitoa mfano wa kuimarika kwa bei ya zao hilo, Mhe. Silinde amesema Serikali imefanya juhudi kubwa ya kuongeza bei ya kahawa kutoka Shilingi 900 kwa kilo, hadi Shilingi 5800 kwa kilo.

Naye Mbunge wa Moshi vijijini, Mhe. Profesa Patrick Ndakidemi ameishukuru Serikali kwa kuunga mkono juhudi za wananchi wa jimbo hilo katika kuzalisha miche ya kahawa na kuigawa bure kwa wakulima katika kupunguza gharama za uzalishaji.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI May 12, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDUKA KWA NAFASI YA DEREVA II TAREHE 09.02.2024 February 09, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAMA SAMIA LEGAL AID COMPAIGN YAFIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    January 30, 2025
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI

    December 17, 2024
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA VUNJO NA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA MAAFISA WATENDAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    December 04, 2024
  • UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

    October 11, 2024
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.