• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

RAIS WA HUNGARY KATALIN NOVÁK AFANYA ZIARA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

Posted on: July 19th, 2023

Rais wa Hungary Katalin Novák leo tarehe 19 Julai 2023 amefika Mkoa wa Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Nurdin Babu na kutembelea  Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ambapo alifika eneo la Fumvuhu Kijiji cha Kidia Kata ya Old Moshi Mashariki. Eneo hili la Fumvuhu katika historia lilitembelewa na mtafiti Kálmán Kittenberger  Mwaka 1903 wakati aliposafiri kwenda Mombasa Nchini Kenya akiwa kama Mtaalamu binafsi wa kukausha ngozi za wanyama waliokufa na kuoneka kama hai.

Katika safari yake alikutana na  Mzee Mlasan Moses Malisa ambaye alikuwa ni Kiongozi wa Familia ya Wamalisa. Mtafiti Kálmán Kittenberger aliugua na kutibiwa katika Zahanati ya Wamishenari ya Kidia na kupumzika mahali hapa ambapo umejengwa Mnara wa kumbukumbu na baadaye aliendelea na safari yake.

Mnara huu wa Kihistoria wenye Picha ya Kálmán Kittenberger na Zana kama Nyundo, Mkasi, Mkuki na Jembe ulijengwa na familia ya kina Malisa ili kuonyesha kumbukumbu ya ukarimu wao kwa wageni wakimkumbuka Kálmán Kittenberger  na shughuli zao za asili za Ufugaji na Uhunzi wa chuma.

 

Katika ziara yake Rais wa Hungary Katalin Novák aliweka shada la Maua katika Mnara huo mdogo na kisha kukutana na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Fumvuhu na kupata nafasi ya kushuhudia Walimu wakifundisha wanafunzi madarasani na baadae kupiga picha na wanafunzi pamoja na Wananchi wa Kijiji cha Kidia ambao walimzawadia na kumvisha Kikoi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA December 03, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA WAJUMBE WA KAMATI YA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI January 20, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU KUANZA KWA MCHAKATO WA KUCHUNGUZA NA KUGAWA AU KUBADILI MAJINA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI February 27, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA NAFASI YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II March 18, 2025
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAMA SAMIA LEGAL AID COMPAIGN YAFIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    January 30, 2025
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI

    December 17, 2024
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA VUNJO NA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA MAAFISA WATENDAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    December 04, 2024
  • UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

    October 11, 2024
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.