• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU SERA,BUNGE NA URATIBU MHE.UMMY NDERIANANGA ATEMBELEA AKAGUA NA KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO

Posted on: December 28th, 2023

Mvua zilizotabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuwa za el-nino na kunyesha katika maeneno mbalimbali ya nchi yetu katika Wilaya ya Moshi, zilisababisha madhara kwa wakazi 445 kutoka katika kaya 119 katika kata 8.

Hadi kufikia tarehe 27/12/2023, Watu 5 wameripotiwa kufariki katika Kata 4, ikiwa 2 ni wakazi wa Kitongoji cha Saningo, Kijiji cha Mandaka Mnono Kata ya Old Moshi Magharibi. 1 Mkazi wa Kijiji cha Mrimbo Uuwo Kata ya Mwika Kaskazini, 1 wa Kijiji cha Masaela Kata ya Kilema Kusini na 1 wa Kijiji cha Kirima Kata ya Kibosho Kirima.

Jumla ya kaya 119 zilizoko kwenye Kata 8, vijiji 9 na Vitongoji 12 zilipata madhara makubwa. Ambapo nyumba zilizobomoka ni 20 na 10 kupata nyufa. Kaya 99 zilizingirwa na maji na zingine kuingiliwa na maji. Katika kaya 119, kaya 46 ni za Kata ya Old Moshi Magharibi, Kijiji cha Mandaka Mnono Kitongoji cha Saningo, kaya 26 ni za Kata ya Arusha Chini, kaya 18 zipo Kata ya Mabogini, kaya 3 ni za Kata ya Uru Kusini,Kaya 1 Kilema Kusini, kaya 2 ziko Kata ya Mwika Kusini, kaya 1 Kibosho Kirima na kaya 21 zinatoka Kata ya Kahe Magharibi.

Inakadiriwa ekari 1,634.75 zinazomilikiwa na kaya 1,139 za mazao ya mahindi, ndizi maharage, mpunga na mbogamboga zimeharibiwa katika Kata za Old Moshi Magharibi, Kilema Kusini, Kahe Magharibi, Arusha Chini, Mamba Kusini, Mamba Kaskazini, Mwika Kaskazini, Mabogini, Marangu Mashariki, na Mamba Kusini. Tathmini ya kina imeendelea kufanywa na Wataalam wa Kilimo wa Kata zenye uharibifu.

Kwa upande wa mifugo, Ngombe (ndama 03), Mbuzi 30, nguruwe 02, kondoo 29, kuku 44, na bata 30, wamepotea katika kitongoji cha Saningo na mayai 460 katika Kijiji cha Longuo A, Kata ya Uru Kusini.

Uharibifu wa miundombinu ya barabara umetokea katika maeneo ya Kata za Mabogini, Kahe Mashariki, Kahe Magharibi, Old Moshi Magharibi, Arusha Chini, na Kimochi Tathmini ya awali ya kuimarisha barabara hizo ni Tsh 4,650,000,000.00.

Madhara yaliyotokea ni kuharibika kwa chanzo cha mto Muwe ambacho kinalisha Kata 3 za kirua Vunjo Kusini, Kirua vunjo Mashariki na Kirua Vunjo Magharibi. Madhara mengine yaliyojitokeza ni kuzolewa kwa mabomba ya maji. Jumla ya Tsh. 14,000,000.00 za mapato ya ndani ya CBWSo ya Kirua Kahemtiririko zilitumika kurejesha huduma.

Serikali yatoa msaada wa Mahindi tani 20, Magodoro 150, Blanketi 300, Mikeka 300, Ndoo za maji 150, madumu ya maji 150 yatakayogawiwa kwa wakazi 445 wa kaya 119.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA December 03, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA WAJUMBE WA KAMATI YA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI January 20, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU KUANZA KWA MCHAKATO WA KUCHUNGUZA NA KUGAWA AU KUBADILI MAJINA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI February 27, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA NAFASI YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II March 18, 2025
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAMA SAMIA LEGAL AID COMPAIGN YAFIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    January 30, 2025
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI

    December 17, 2024
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA VUNJO NA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA MAAFISA WATENDAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    December 04, 2024
  • UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

    October 11, 2024
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.