• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

MOSHI DC YAPATA BARAZA JIPYA LA MADIWANI, MEELA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI

Posted on: December 3rd, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Moshi imepata baraza jipya la madiwani pamoja na Mwenyekiti wake leo 3 Disemba 2025, hii ni baada ya madiwani wateule kuapishwa rasmi na hivyo kufungua rasmi shughuli za baraza hilo.


Baada ya madiwani hao  kula viapo, zoezi la uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti pamoja na Makamu Mwenyekiti ulifanyika ambapo Diwani wa Kata ya Njiapanda kupitia CCM Mhe. John Mapato Meela alichaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, sambamba na Diwani wa Kata ya Mwika Kaskazini Mhe. Samwel Shao aliyechaguliwa Kuwa Makamu Mwenyekiti.


Baada ya utaratibu kukamilika Mwenyekiti mpya aliongoza mkutano wa kwanza wa baraza , huku akiwashukuru wajumbe kwa kumchagua na kuomba ushirikiano kwa madiwani hao pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.


Aidha, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Ndugu Shadrack Mhagama amewasilisha taarifa ya utendaji kazi wa halmashauri kwa kipindi chote ambapo hakukuwa na baraza ambapo amesema Halmashauri imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa ufanisi mkubwa.


Mgeni rasmi katika Mkutano huo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu  Kiseo Yusuph Nzowa amewaasa madiwani hao kuwa waadilifu lakini pia wasome nyaraka mbalimbali kwa umakini ili waweze kuwa na michango yenye tija katika mikutano ya baraza.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU December 31, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDUKA KWA NAFASI YA DEREVA II TAREHE 09.02.2024 February 09, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • WASIMAMIZI,WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALA KIAPO KUELEKEA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI

    January 03, 2026
  • MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WASHIRIKI MAFUNZO UCHAGUZI MDOGO WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO KUSINI

    January 01, 2026
  • MOSHI DC YAPATA BARAZA JIPYA LA MADIWANI, MEELA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI

    December 03, 2025
  • DC MOSHI AWATAKA VIONGOZI KUWA MABALOZI WA KAZI ZA SERIKALI

    December 02, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.