• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. NURDIN HASSAN BABU AKABIDHIWA VYUMBA 30 VYA MADARASA

Posted on: December 22nd, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ilipokea jumla ya Shilingi Milioni Mia Sita (600,000,000.00) kwa ajili ya Ujenzi wa Vyumba 30 vya Madarasa katika Shule za Sekondari 19. Kati ya Shule hizo Shule 10, zipo Jimbo la Moshi Vijijini na kumejengwa Vyumba 14 vya Madarasa. Aidha, Shule 9 za Sekondari zipo Jimbo la Vunjo na kumejengwa Vyumba 16 vya Madarasa

Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Vyumba 30 vya Madarasa  zilipokelewa tarehe 01/10/2022 kutoka Serikali kuu, kupitia akaunti za Shule 19 zilizotekeleza Ujenzi huo. Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa na utengenezaji wa samani ulitekelezwa kwa njia ya “Force Account” ambapo kazi zote zilitarajiwa kukamilika kabla au ifikapo tarehe 15.12.2022 ambapo Ujenzi wa Madarasa 30 na utengenezaji wa samani ulikamilika tarehe 10/12/2022 kabla ya muda uliopangwa.

Kukamilika kwa Ujenzi wa Vyumba 30 vya Madarasa kutawezesha jumla ya wanafunzi wote 8,736 wakiwemo wavulana 4,346 na wasichana 4,390 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2023 kuanza masomo ya Sekondari kwa pamoja muhula wa Shule utakapofunguliwa tarehe 09 Januari 2023.

 Mafanikio haya yaliyofikiwa yamechangiwa sana na usimamizi mzuri wa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Hassan Babu ambapo mara kwa mara alikagua maendeleo ya Ujenzi na kuhamasisha kwa upendo  kukamilisha kazi hii muhimu kwa wakati.

Shukrani za dhati zimuendee Mhe. Abbas Kayanda, Mkuu wa Wilaya ya Moshi, na Katibu Tawala Wilaya ya Moshi Bi. Angelina Marko ambao walikuwa kazini siku zote wakihimiza na kusimamia kwa upendo na kuhakikisha Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa kwenye kila Shule unatekelezwa kwa ubora na viwango vya hali ya Juu.


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI KUJIUNGA NA JESHI LA MAGEREZA January 20, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI UWENYEKITI BODI YA AJIRA October 04, 2022
  • TANGAZO LA KAZI WAKUSANYA MAPATO November 01, 2022
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DKT. DOROTHY GWAJIMA ATEMBELEA WANANCHI KATA YA MABOGINI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    February 18, 2023
  • MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. NURDIN HASSAN BABU AKABIDHIWA VYUMBA 30 VYA MADARASA

    December 22, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI YASHINDA KOMBE

    November 01, 2022
  • VIKOMBE UMMISSETA 2022 VYAKABIDHIWA

    August 04, 2022
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.