• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

MCHAKATO WA KUWEZESHA HIFADHI YA TAIFA KILIMANJARO KUINGIA KATIKA HADHI YA MTANDAO WA KIMATAIFA WA GLOBAL GEOPARK

Posted on: May 23rd, 2023

Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro ni miongoni mwa maeneo yenye utajiri mkubwa wa miamba ya aina mbalimbali. Kutokana na sifa hiyo Hifadhi hii inakidhi vigezo vya kuwa miongoni mwa maeneo ya Mtandao wa ‘Global Geopark’ hadhi inayotambulika na Shirika la UNESCO.

Shirika la Hifadhi za Taifa kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya UNESCO (NATCOM) limepanga kuingiza baadhi ya Hifadhi za Taifa Tanzania ikiwemo Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwenye Mtandao wa ‘Global Geopark’. Aidha miongoni mwa vigezo vya eneo kuingizwa kwenye mtandao huo wa Kimataifa ni kufanya utambuzi wa Vituo vya Utalii vilivyomo ndani nan je ya Hifadhi kwa ajili ya kuvitangaza.

Kufuatia vigezo hivyo, timu ya wataalam wa TANAPA na UNESCO-NATCOM imeanza mchakato wa kuandaa andiko la kuomba UNESCO kuusajili Mlima wa Kilimanjaro kuwa katika mtandao wa ‘Global Geopark’.

Kikao cha Kupata Maoni Juu ya Mchakato wa kuwezesha Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro kuingia katika Hifadhi ya Mtandao wa Kimataifa wa Global Geopark kimefanyika leo Tarehe 23/05/2023 katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri na kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa Halmashsuri ya Wilaya ya Moshi Mhe. Morris Joseph Makoi (Diwani Kata ya Kibosho Okaoni),Makamu Mwenyekiti Mhe.Filbert August Shayo (Diwani Kata ya Marangu Magharibi),Diwani Kata ya Kibosho Kati Mhe.Bahati Sebastian Mamboma, Diwani Kata ya Mwika Kaskazini Mhe.Samwel Ndetaramo Shao, Diwani Kata ya Marangu Mashariki Mhe.Jonas S.Mawalla,Diwani Kata ya Mbokomu Mashariki Mhe.Raphael V.Materu,Diwani Kata ya Uru Mashariki Mhe.Samwel M.Materu,Diwani Kata ya Kibosho Mashariki Mhe.Christopher A.Ndakidemu,Diwani Kata ya Kimochi Ally D.Badi na Diwani Kata ya Old Moshi Mashariki Mhe.Jane G.Mandara

Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Maafisa Tarafa za Kibosho, Hai na Vunjo Mashariki, Maafisa wa Halmashauri,Watendaji wa Kata, Watendaji wa Vijiji na Wenyeviti wa Vijiji vya Mweka, Sungu, Shimbwe Juu, Materuni, Arisi, Kitowo, Kyala, Mshiri, Msae Kinyamvuo, Kidia, Mowo, Tema, na Tsuduni pamoja na Wadau wa Utalii na Utamaduni waliopo ndani ya Wilaya kulingana na mialiko yao.

Washirki kwa nafasi zao walipata wasaa wa kuchangia na kutoa maoni yao juu ya mchakato wa kuwezesha Hifadhi ya Kitaifa Kilimanjaro kuingia katika hadhi ya Mtandao wa Kimataifa wa ‘Global Geopark’.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA December 03, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA WAJUMBE WA KAMATI YA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI January 20, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU KUANZA KWA MCHAKATO WA KUCHUNGUZA NA KUGAWA AU KUBADILI MAJINA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI February 27, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA NAFASI YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II March 18, 2025
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAMA SAMIA LEGAL AID COMPAIGN YAFIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    January 30, 2025
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI

    December 17, 2024
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA VUNJO NA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA MAAFISA WATENDAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    December 04, 2024
  • UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

    October 11, 2024
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.