• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

HALMASHAURI YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KATIKA ZAHANATI YA NJIAPANDA

Posted on: November 21st, 2025

Maadhimisho ya siku ya Lishe kitaifa yamefanyika leo tarehe 21 Oktoba, 2025, ambapo katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, maadhimisho hayo yamefanyika katika Zahanati ya Njiapanda iliyoka Kata ya Njiapanda.

Maadhimisho hayo yamekwenda sambamba na utoaji wa elimu ya Lishe pamoja na huduma za upimaji wa magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari na shinikizo la damu.


Wakazi mbalimbalii walijitokeza kwa wingi kupata huduma ambapo zaidi ya watu 400 walijitokeza kuhudumiwa na Wataalam wa afya bila malipo yoyote.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Moshi, Mgeni Rasmi Bw. Peter Joseph Tungu amesema msingi wa maendeleo ya Jamii yoyote ni afya bora hivyo Wananchi wazingatie Lishe bora.

"Lishe bora ni msingi imara wa afya njema na maendeleo ya kiuchumi ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Mwili wenye afya bora hupatikana kupitia ulaji sahihi  jambo ambalo huimarisha kinga ya mwili hivyo uwezo wake wa kujifunza huongezeka, ufanisi kazini huimarika, na anaweza kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi za familia na jamii kwa ujumla.

Kwa upande wake Afisa Lishe wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi Ndugu John Lwena ametoa Elimu ya makundi Sita ya chakula, Huku akiwahamasisha Wananchi kuachana na mitindo isiyofaa ya maisha kama unywaji wa pombe na kutokufanya mazoezi.


Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO October 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHA UCHAGUZI KATIKA KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DC MOSHI AWATAKA VIONGOZI KUWA MABALOZI WA KAZI ZA SERIKALI

    December 02, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KATIKA ZAHANATI YA NJIAPANDA

    November 21, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YAFANYA ZIARA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI NA KUJIFUNZA JUU YA UKUSANYAJI WA WAPATO YA ZAO LA KAHAWA.

    November 17, 2025
  • MAKARANI WA UCHAGUZI WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO

    October 25, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.