• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YAFANYA ZIARA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI NA KUJIFUNZA JUU YA UKUSANYAJI WA WAPATO YA ZAO LA KAHAWA.

Posted on: November 17th, 2025


Ujumbe kutoka Halmashauri ya Wilaya Songea  ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Elizabeth Gumbo umetembelea leo makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kwa ziara maalum ya kujifunza juu ya ukusanyaji wa mapato kutoka kwenye zao la kahawa na kubadilishana uzoefu.


Bi Gumbo ameongozana na timu ya Wataalam mbalimbali  wakiwemo Wakuu wa Idara za Sheria, Kilimo na mweka hazina wa ofisi yake, wamepokelewa na Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Bw. Horace Kolimba kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji.


Akizungumza Katika ziara hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea amesema wamechagua kutembelea Halmashauri ya wilaya ya Moshi kwasababu inafanya vizuri katika uzalishaji na uwekezaji kwenye zao la kahawa.



"Halmashauri ya Wilaya ya Songea inazalisha kahawa kama hapa Moshi, lakini dhumuni letu ni kujifunza kwenu ukusanyaji wa ushuru katika zaohilo kwasababu tumeona ni eneo mnalofanya vizuri na wote tunajua umuhimu wa kukusanya mapato kwa Halmashauri"


Pia, Mkurugenzi huyo amemshukuru mwenyeji wake kwa kuwakaribisha kujifunza katika halmashauri yake Huku akiomba ushirikiano huo uendelee kwa maslahi mapana ya umma.


Aidha, Wataalam kutoka Halmashauri zote mbili walipata wasaa wa kujadili kwa kina changamoto za ukusanyaji mapato Katika zao la kahawa, pamoja na njia za kuepukana na changamoto hizo.


Kwa upande wake Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kwa niaba ya Mkurugenzi akiwaaga wageni wake  ameomba ushirikiano baina ya halmashauri hizo uendelee hasa katika eneo la kubadilishana uzoefu.



Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO October 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHA UCHAGUZI KATIKA KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DC MOSHI AWATAKA VIONGOZI KUWA MABALOZI WA KAZI ZA SERIKALI

    December 02, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KATIKA ZAHANATI YA NJIAPANDA

    November 21, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YAFANYA ZIARA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI NA KUJIFUNZA JUU YA UKUSANYAJI WA WAPATO YA ZAO LA KAHAWA.

    November 17, 2025
  • MAKARANI WA UCHAGUZI WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO

    October 25, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.