• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

DC MOSHI AWATAKA VIONGOZI KUWA MABALOZI WA KAZI ZA SERIKALI

Posted on: December 2nd, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe. Godfrey Eliakimu Mnzava amewataka viongozi mbalimbali na wadau wa maendeleo kuwa mabalozi wema wa kutangaza kazi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika Wilaya ya Moshi

Ameyasema hayo leo wakati akongoza Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya leo tarehe 2 Desemba, 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashuari ya Wilaya ya Moshi.

Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe mbalimbali wakiwemo wabunge wa majimbo ya Vunjo na Moshi vijijini, Wakuu wa Sehemu na Vitengo, wawakilishi wa taasisi, viongozi wa dini pamoja na viongozi wa vyama vya siasa

Mnzava amesema kazi kubwa inafanyika na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwani fedha nyingi zinapelekwa vijijini ili kutekeleza miradi mbalimbali ya afya, elimu,umeme maji na ujenzi wa miundombinu ya barabara hivyo kila mtu ana wajibu wa kuyaasema hayo kwa wananchi.

"wote tumeseikia hapa katika ripoti zilizowasilishwa na Halmashauri Pamoja na taasisi mbalimbali jinsi Moshi ilivyopokea fedha nyingi kwaajili ya miradi basi tusisubiri sisi tu ndio tuseme nyinyi pia mnaona yanayo fanyika nendeni mkawaeleze wananchi wajue Serikali yao inafanya kazi".(Amesema Mnzava)

Akichangia katika kikao hicho Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Wilaya Moshi Habibu Msansi amesema ni wajibu wa kila kiongozi mzalendo kutangaza kazi zinazofanywa na Serikali huku akiwataka wanasiasa wenzake kuweka mbele masalahi ya Taifa kwanza.

Aidha, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya MoshiNdugu Shadrack Mhagama amesema Ofisi yake imefanya jitihada mbalimbali za kutangaza kazi za Serikali kupitia vyombo vya habari vya kitaifa pamoja na mikutano mbalimbali ya hadhara.

Pamoja na ajenda nyingine taasisi mbalimbali za Serikali zinazotoa huduma katika Wilaya ya Moshi ziliwasilisha taarifa zao za utendaji kazi ambazo zilijadiliwa na wajumbe kwaajili ya kupata ushauri na kupokea changamoto mbalimbali.


Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO October 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHA UCHAGUZI KATIKA KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DC MOSHI AWATAKA VIONGOZI KUWA MABALOZI WA KAZI ZA SERIKALI

    December 02, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KATIKA ZAHANATI YA NJIAPANDA

    November 21, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YAFANYA ZIARA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI NA KUJIFUNZA JUU YA UKUSANYAJI WA WAPATO YA ZAO LA KAHAWA.

    November 17, 2025
  • MAKARANI WA UCHAGUZI WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO

    October 25, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.