• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

MAFUNZO YA UTOAJI WA MIKOPO YA 10% KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

Monday 27th, March 2023
@

Halmashauri ya Wilaya ya Moshi imeandaa na kufanya Mafunzo elekezi kwa Vikundi vya Wanawake,Vijana na Watu wenye Ulemavu vitakavyonufaika na Mikopo ya 10%.

Mafunzo hayo yalifunguliwa na Mkuu wa Sehemu ya Maendeleo ya Jamii Ndg. Lucas Msele kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji ambapo Washiriki walikumbushwa kuwa Mikopo watakayoipata wakaitumia kwenye Miradi walioombea na sio kwenda kugawana.

Miongoni mwa mada zilizofundishwa kwenye Mafunzo hayo ni:-

  • Kanuni za Usimamizi wa Matumizi ya Fedha za Mikopo na utaratibu wa marejesho
  • Kikundi endelevu
  • Uongozi katika kikundi

Katika mafunzo hayo yaliyoendeshwa na Wataalam kutoka Halmashauri yakiongozwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Bi. Stella Magori, Bw. Ally Tagalile, Bi. Bertha Yairo na Bi. Lydia Njau washiriki pia walipata uelewa juu ya Sifa za kikundi kupata mkopo ambazo ni;

  • Kiwe kimesajiliwa kama Kikundi cha Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu
  • Kiwe kinajishughulisha na ujasiriamali au kinakusudia kuanzisha shughuli za ujasiriamali mdogo au wa kati;
  • Kikundi cha Wanawake au Vijana kiwe kina idadi ya wanakikundi kuanzia watano na kuendelea na kwa Kikundi cha Watu wenye Ulemavu, kiwe kina idadi ya wanakikundi mmoja na kuendelea
  • Kiwe kina akaunti ya benki iliyofunguliwa kwa jina la kikundi kwa ajili ya matumizi ya kikundi;
  • Wanakikundi wawe ni raia wa Tanzania wenye akili timamu
  • Kikundi hakitajumuisha wajumbe wenye ajira rasmi.

Mtu mwenye ulemavu anayekusudia kuomba mkopo chini ya masharti ya kanuni atatakiwa kujaza fomu ya maombi ya mkopo itakayoambatishwa na nyaraka zifuatazo;

  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo inayothibitisha kuzaliwa kwake;
  • Nakala ya leseni ya biashara au kitambulisho cha ujasiriamali kilichotolewa na Serikali;
  • Nakala halisi ya taarifa ya akaunti kutoka benki
  • Nakala halisi ya barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji
  • Wazo la biashara.

Washiriki walielekezwa pia juu ya Utaratibu wa uombaji wa mikopo

  • Kikundi kinachokusudia kuomba mkopo kitatakiwa kujaza fomu maalum itakayotolewa na Mamlaka ya Serikali ya Mtaa ikiwa na viambatisho viguatavyo;
  • Katiba ya kikundi
  • Cheti cha usajili wa kikundi
  • Vikundi vinavyojishughulisha na biashara kiambatishe leseni ya biashara
  • Taarifa ya akaunti kutoka katika benki ambayo kikundi kina akaunti
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji
  • Wazo la biashara likiambatana na mchanganuo wa Matumizi na Faida inayotegemewa kupatikana.
  • Maombi yote ya Mikopo kwa sasa yanafanyika kwenye Mfumo wa Usimamiaji na utoaji wa Mikopo ya 10%(TPLMIS) inayotokana na Mapato ya Ndani ya Halmashauri ili kuwezesha Mikopo kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu kupitia kiunganishi cha mfumo https://mikopohalmashauri.tamisemi.go.tz





Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI KUJIUNGA NA JESHI LA MAGEREZA January 20, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI UWENYEKITI BODI YA AJIRA October 04, 2022
  • TANGAZO LA KAZI WAKUSANYA MAPATO November 01, 2022
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DKT. DOROTHY GWAJIMA ATEMBELEA WANANCHI KATA YA MABOGINI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    February 18, 2023
  • MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. NURDIN HASSAN BABU AKABIDHIWA VYUMBA 30 VYA MADARASA

    December 22, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI YASHINDA KOMBE

    November 01, 2022
  • VIKOMBE UMMISSETA 2022 VYAKABIDHIWA

    August 04, 2022
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.