• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

MAFUNZO YA UPIMAJI WA AFYA YA UDONGO KWA MAAFISA UGANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

Monday 4th, December 2023
@UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI

Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Wilaya ya Moshi imefanya Mafunzo ya Upimaji wa afya ya udongo kwa kutumia Kifaa kinachoitwa Soil Scanner kwa Maafisa Ugani  wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshii yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri leo tarehe 02/10/2023 yakiongozwa na mwendesha mafunzo Afisa Shaban Nyika.

Mafunzo hayo kwa Maafisa Ugani yatakwenda kuwasaidia wakulima wanaowazunguka kwani wataweza kupimiwa afya ya udongo na kujua afya yake itakayompelekea  kuotesha aina ya mbegu kwa matokeo mazuri ya mavuno.

Katika Mafunzo hayo Maafisa Ugani wamejifunza mambo mbalimbali yakiwemo;

1.Maelezo ya awali ya vifaa vya kupimia Afya ua Udongo

2.Namna ya kutunza Soil Scanner

3.Namna ya kutumia Soil Scanner

4.Namna ya uchukuaji wa sampuli za udongo katika shamba la mkulima

5.Kupima Afya ya udongo na kutoa matokeo kwa mkulima

6.Kutafsiri taarifa ya Soil Scanner

7.Matumizi ya Mfumo wa Data

Soil Scanner inapatikana Halmashauri kwenye Ofisi ya Idara ya Kilimo,Mifungo na Uvuvi na huduma ya kupimiwa Afya ya udongo ni bure hivyo wakulima wote wanahitaji huduma hiyo hawana budi kuwasiliana na Maafisa Ugani wanapatikana kwenye Kata zao.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI UWENYEKITI BODI YA AJIRA October 04, 2022
  • TANGAZO LA KAZI WAKUSANYA MAPATO November 01, 2022
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • TIMU YA WANAWAKE HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI YATINGA ROBO FAINALI SHIMISEMITA 2023.

    October 24, 2023
  • RAIS WA HUNGARY KATALIN NOVÁK AFANYA ZIARA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    July 19, 2023
  • WILAYA YA MOSHI YAKABIDHIWA MWENGE WA UHURU 2023 JUNI 23

    June 24, 2023
  • MCHAKATO WA KUWEZESHA HIFADHI YA TAIFA KILIMANJARO KUINGIA KATIKA HADHI YA MTANDAO WA KIMATAIFA WA GLOBAL GEOPARK

    May 23, 2023
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.