• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI YAGAWA MIPIRA 130 KWA SHULE ZA MSINGI,SEKONDARI NA VITALU VYA MICHEZO.

Wednesday 4th, February 2026
@UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

Halmashauri ya Wilaya ya Moshi leo tarehe 15 Aprili,2024 imegawa mipira ya miguu 64 kwa Shule za Msingi zilizo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ambapo katika mgao huo Kata zote 32 za Halmashauri zilipatiwa mipira miwili miwili.

Pia kwa upande wa Shule za Sekondari mipira 32 iligawiwa kwa kila Kata.

Vile vile mipira 24 iligawiwa kwa Shule za Msingi na Sekondari zenye Vitalu vya mchezo wa mpira wa miguu.

Akigawa mipira hiyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Moshi Ndg. Lucas Mselle alisema mipira hiyo ikatumike katika kukuza vipaji vya wanafunzi mashuleni pamoja na kufanya Maandalizi ya mashindano ya Umitashumta na Umiseta.



Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU December 31, 2025
  • KATAZO LA KUPAKIA, KUSHUSHA ABIRIA NA MIZIGO NJE YA VITUO VYA MABASI MAMLAKA YA MJI MDOGO WA HIMO. January 02, 2026
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • RC BABU AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI MOSHI DC, WAASWA KUZINGATIA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU.

    January 20, 2026
  • DC MNZAVA ASISITIZA WAZAZI KUPELEKA WATOTO SHULE

    January 15, 2026
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI

    January 02, 2026
  • WASIMAMIZI,WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALA KIAPO KUELEKEA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI

    January 03, 2026
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.