• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

HAFLA FUPI YA UTIAJI SAINI HATI YA MAKUBALIANO YA UJENZI NA USIMIKAJI WA MASHINE YA KUKOBOA MPUNGA KIJIJI CHA MAWALA KAHE MAGHARIBI KATI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI NA SHIRIKA LA FTK

Monday 11th, August 2025
@OFISI ZA MKURUGENZI MTENDAJI SANGO

Hafla fupi ya utiaji saini wa hati ya makubaliano kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Shirika la FTK na Kijiji cha Mawala inayohusu ujenzi na usimikaji wa mashine ya kukoboa mpunga katika Kijiji cha Mawala imefanyika leo tarehe 18/07/2025 Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi yaliyoko Kitongoji cha Kommbe, Kijiji cha Sango, Kata ya Kimochi.

Hati hii ya makubaliano imetokana na uzalishaji mkubwa wa mpunga unaoendelea katika Kijiji cha Mawala lenye eneo la ukubwa wa ekari 5,000 ambalo linavuna wastani wa tani 9,000 kwa mwaka hivyo kumekuwepo na uhitaji wa kiwanda cha kukoboa mpunga. Ukosefu wa mashine ya kukoboa mpunga katika Kijiji cha Mawala unapelekea wakulima kusafirisha mpunga umbali usiopungua kilomita 10 kwa ajili ya ukoboaji.

Kutokana na hali hii wakulima wengi wamekuwa wakipata hasara kwa kuuza mpunga wao bila kuukoboa wakati wa msimu wa uvunaji ambapo mpunga huwa na bei ya chini. Kwa hali hiyo, Kijiji cha Mawala kwa ushirikiano na Shirika la FTK waliona umuhimu wa ujenzi na usimikaji wa mashine ya kisasa ya kukoboa mpunga ili kupunguza gharama za usafirishaji kwa kusogeza huduma karibu na wananchi sambamba na kuongeza pato la wakulima na Serikali ya Kijiji.

Mradi huu wenye thamani ya Shilingi 277,600,000.00 ambapo FTK wamechangia shilingi 271,600,000.00 na Wananchi shilingi 6,000,000.00 utasimamiwa na Serikali ya Kijiji cha Mawala chini ya uangalizi wa karibu wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W) na FTK.

Ili kufanikisha utekelezaji wa mradi huu, baada ya Ofisi ya Mkurugenzi kupokea taarifa, iliundwa timu ya majadiliano inayotokana na Idara 5 za Kilimo, Mipango na Uratibu, Maendeleo ya Jamii, Huduma za Sheria na Ardhi. Jumla ya vikao 5 ngazi ya Wilaya na 1 ngazi ya Kijiji vimefanyika. Pia ziara ya ukaguzi wa eneo la mradi ilifanyika na kujiridhisha kuwa eneo lenye ukubwa wa ekari 2 lililokabidhiwa na Kijiji linafaa kwa uwekezaji na halina mgogoro. Kwa utangulizi huo makubaliano (Memorandum of Understanding na Mpango wa biashara (Business Plan) kwa kiwango kilichokubalika kwa pande zote.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI KWENYE VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.pdf July 31, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDUKA KWA NAFASI YA DEREVA II TAREHE 09.02.2024 February 09, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • WATAINIWA WA KIDATO CHA SITA 2025 MOSHI DC WAFAULU KWA ASILIMIA 100

    July 08, 2025
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2025 HALMASHAURU YA WILAYA YA MOSHI

    May 30, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MOSHI AKUTANA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

    June 03, 2025
  • MAMA SAMIA LEGAL AID COMPAIGN YAFIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    January 30, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.