• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) YAWASILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI KUTEMBELEA NA KUFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO.

Posted on: March 19th, 2024

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) yawasili Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro na kufanya ziara ya kikazi.

Wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati  ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Mhe. Ester Bulaya (Mb) akiwa ameambatana na wajumbe wa kamati hiyo walifanaya ziara na kukagua miradi mitatu ya maendeleo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) ilitembelea mradi wa kwanza wa Ujenzi wa Kituo cha afya Uru Kusini kilichopo Kata ya Uru Kusini

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) ilitembelea mradi wa pili na kukagua mradi wa Ujenzi wa Jengo la Utawala lililopo katika Kijiji cha Sango Kata ya Kimochi.


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) ilitembelea na kukagua mradi wa tatu ambao ni Ujenzi wa Shule ya Sekondari Njiapanda


Katika ziara hiyo kwa upande wa wataalamu kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI iliongozwa na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde.


Kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe. Zephania Stephan Sumaye aliambatana na Mhe. Morris Joseph Makoi Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Ndugu Shadrack Mohamed Mhagama Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Moshi pamoja na wataalamu wakiwemo Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI May 12, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDUKA KWA NAFASI YA DEREVA II TAREHE 09.02.2024 February 09, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAMA SAMIA LEGAL AID COMPAIGN YAFIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    January 30, 2025
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI

    December 17, 2024
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA VUNJO NA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA MAAFISA WATENDAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    December 04, 2024
  • UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

    October 11, 2024
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.