• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

TAARIFA YA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI (OKTOBA – DESEMBA, 2023)

Friday 31st, October 2025
@Ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Moshi

Afisa Lishe Wilaya Ndg. John Lwena awasilisha Taarifa ya Tathimini ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa Kipindi cha Robo ya Pili Oktoba - Desemba 2023 mbele ya Mheshimiwa Mwenyekiti ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe.Zephania Stephan Sumaye pamoja na wajumbe wengine kutoka Halmashauri. ya Wilaya ya Moshi.



Katika wasilisho lake Afisa Lishe Wilaya alieleza kuwa;

Halmashauri ya Wilaya ya Moshi inaendelea kutekeleza afua mbalimbali za Lishe kwa kuzingatia viashiria vya Mkataba wa Lishe kwa kushirikiana na Watendaji wa Kata na Vijiji, Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii na watoa Huduma za Afya vituoni, kwa lengo la kuboresha na kuimarisha afya na Lishe ya watoto, vijana balehe, wajawazito, wanaonyonyesha na wanawake waliopo katika umri wa kuzaa.

Katika kipindi cha robo ya pili (Oktoba-Desemba, 2023) Halmashauri imefanya jitihada kubwa katika utekelezaji wa afua mbalimbali za Lishe ikiwa ni pamoja na kutenga fedha kiasi cha Shilingi 29,470,020.31 kwa ajili ya kutekeleza shughuli za Lishe. Kwa upande wa matumizi, Halmashauri imetumia jumla ya Shilingi 35,738,260.00 (121%) kutekeleza shughuli za Lishe kwa robo ya pili.

Matumizi ya fedha hizo yalielekezwa katika maeneo yafuatayo: Vikao vya kamati ya Lishe na tathimini ya mkataba wa Lishe, Ununuzi wa virutubishi (Multiple micronutrient powder (MNP)) kwa ajili ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano, utoaji wa nyongeza ya matone ya vitamini A kwenye vituo vya kutolea Huduma za Afya, kuanzisha bustani za mboga mboga kwenye shule za sekondari pamoja na kutoa elimu ya uzalishaji wa mazao yenye virutubisho kwa wingi ili kukabiliana na tatizo la lishe duni na udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5 kwenye jamii.

Taarifa hii inaangazia utekelezaji wa afua za Lishe katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/24, kuanzia Oktoba hadi Desemba 2023.


Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO October 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHA UCHAGUZI KATIKA KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAKARANI WA UCHAGUZI WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO

    October 25, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI AWAFUNDA WATENDAJI KATA NA VIJIJI UKUSANYAJI WA MAPATO

    October 18, 2025
  • UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    October 07, 2025
  • WATAINIWA WA KIDATO CHA SITA 2025 MOSHI DC WAFAULU KWA ASILIMIA 100

    July 08, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.