• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

SHULE YA SEKONDARI YA AMALI KORESA YAANZA KUTOA HUDUMA

Wednesday 4th, February 2026
@KORESA KIRUA VUNJO KUSINI

Shule mpya ya Sekondari ya Amali Koresa inajengwa katika kijiji cha Koresa, kitongoji cha Miwaleni kata ya Kirua Vunjo Kusini.


Halmashauri ilipokea jumla ya Shillingi 584,280,029.00 kupitia Mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari (Secondary Education Quality Improvement Program – SEQUIP) kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali Koresa.


Mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Amali Koresa  unatekelezwa kwa njia ya manunuzi ya kutumia rasilimali za ndani (force account). Ujenzi ulianza tarehe 26 Septemba, 2024. Hadi sasa ujenzi wa miundombinu upo katika hatua za ukamilishaji ambapo Jengo la Utawala limekamilika, Vyumba 4 vya madarasa na ofisi katikati vimekamilika, Vyumba 4 vya madarasa bila ofisi katikati vimekamilika, Ujenzi wa matundu 4 ya wasichana na 4 ya wavulana yamekamilika, Ujenzi wa kichomea taka (Incinerator) umekamilika, Ujenzi wa Maabara ya Kemia na Bailojia ziko hatua ya ukamilishaji, Ujenzi wa Maabara ya Fizikia, Jengo la TEHAMA na Maktaba unaendelea.


Shule ya Sekondari ya Amali Koresa imesajiliwa kwa namba 7020 na imepangiwa kupokea wanafunzi 83 na wamepokelewa 57 hadi leo tarehe 22/01/2026. Shule ina madawati 120 ambayo yanatosha kwa wanafunzi waliopangiwa shule hii. Aidha shule ina walimu 6 kwa ajili ya kuanza ufundishaji.


Ujenzi wa miundombinu ya shule mpya ya Sekondari ya Amali Koresa umekuwa na manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi wa Wilaya ya Moshi kwani uwepo wa ujenzi wa mradi huu umezalisha ajira za moja kwa moja za Muda 144 kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi na kuongeza soko la bidhaa za viwandani na bidhaa zinazopatikana katika mazingira yanayozunguka mradi kama vile mawe, kokoto, na mchanga, hivyo kuchangia kuongeza kipato kwa wananchi. Uwepo wa shule hii ni fursa kwa wahitimu watakaopata ujuzi utakaowapa nafasi ya kujiajiri na kuajiriwa mara baada ya kuhitimu, kuwa shindani katika soko la ajira na kushiriki kutatua changamoto za jamii ya kitanzania.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU December 31, 2025
  • KATAZO LA KUPAKIA, KUSHUSHA ABIRIA NA MIZIGO NJE YA VITUO VYA MABASI MAMLAKA YA MJI MDOGO WA HIMO. January 02, 2026
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • RC BABU AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI MOSHI DC, WAASWA KUZINGATIA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU.

    January 20, 2026
  • DC MNZAVA ASISITIZA WAZAZI KUPELEKA WATOTO SHULE

    January 15, 2026
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI

    January 02, 2026
  • WASIMAMIZI,WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WALA KIAPO KUELEKEA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI

    January 03, 2026
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.