• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

MKUU WA WILAYA YA MOSHI MHE. GODFREY ELIAKIMU MNZAVA AFANYA ZIARA NA KUONGEA NA WANANCHI WA KATA YA KAHE MASHARIKI

Friday 7th, November 2025
@KIJIJI CHA KYOMU

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe. Godfrey Eliakimu Mnzava afanya ziara katika Kijiji cha Kyomu Kata ya Kahe Mashariki ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kutembelea Kata zilizoko Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kwa lengo la kujitambulisha pamoja na kuwasililiza wananchi kero zao na kuzitafutia majawabu.


Leo tarehe 26/02/2024 ilikuwa ni zamu ya Kata ya Kahe Mashariki na miongoni mwa kero zilizowasilishwa ni pamoja na maswala ya umeme,ardhi,mifugo na afya.


Wataalamu mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Wilaya katika ziara hiyo walipata wasaa wa kutoa majawabu kwa wananchi kulingana na namna ilivyo wasilishwa.


Pamoja na hayo pia Mkuu wa Wilaya aliwataarifu wananchi kuanza kuchukua hatua madhubuti kwa ajili ya kukabiliana na mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni kutokana taarifa ya mamlaka ya hali ya hewa na kuwataka wale wanaoishi katika mazingira hatarishi kuanza kuchua hatua mapema ikiwemo kuhama kabisa katika maeneo hayo.


Pia alipiga marufuku swala la unywaji pombe ulikidhitlri na kuwataka wananchi kutojihusisha na unywaji wa pombe nje ya utaratibu uliowekwa na kuruhusu unywaji kuanzia saa 10 jioni baada ya wananchi kutoka kwenye shughuli za uzalishaji .


Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO October 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHA UCHAGUZI KATIKA KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAKARANI WA UCHAGUZI WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO

    October 25, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI AWAFUNDA WATENDAJI KATA NA VIJIJI UKUSANYAJI WA MAPATO

    October 18, 2025
  • UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    October 07, 2025
  • WATAINIWA WA KIDATO CHA SITA 2025 MOSHI DC WAFAULU KWA ASILIMIA 100

    July 08, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.