• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

MILIONI 351,500,000/= ZATUMIKA KUFANYA UKARABATI WA MIUNDOMBINU YA SHULE YA MSINGI ONGOMA.

Thursday 8th, January 2026
@

Shule ya Msingi Ongoma ni mojawapo ya shule kongwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi na ilianzishwa mwaka 1964   katika Kijiji cha Ongoma, Kata ya Uru Kaskazini. Kufikia mwaka 2024, shule ilikuwa na jumla ya wanafunzi 177, wakiwemo wavulana 80 na wasichana 97. Aidha, kwa sasa shule ina Jumla ya walimu watano (5), ambapo wanaume ni wawili (2) na wanawake watatu (3).

Shule ilikuwa na jumla ya vyumba vya madarasa saba (7), ambavyo vyote vilikuwa vimechakaa sana. Madarasa haya yalikuwa yanavuja, sakafu imeharibika vibaya, na nyufa kubwa katika kuta. Hali hii ilisababisha mazingira ya kujifunzia kuwa hatarishi kwa wanafunzi na walimu, hususani wakati wa mvua.


Kutokana na hali hiyo duni ya miundombinu, Serikali iliona ni vyema kujenga miundombinu mipya ya shule hii, ambapo imelazimu kuwahamisha wanafunzi wote kwenda shule jirani, hususani Shule ya Msingi Fumbuni. Lengo kuu la hatua hii ni kupisha ubomoaji wa majengo ya zamani ili kuanza ujenzi wa shule mpya yenye miundombinu bora na salama.

Ujenzi wa miundombinu ya Shule ya Msingi Ongoma inajengwa kwa gharama ya Shillingi 351,500,000/= kupitia Mradi wakuboresha Elimu ya Msingi(EP4R). Fedha hizi zilipokelewa tarehe 18 Juni 2024 kupitia akaunti  ya shule ya msingi Ongoma. Vilevile kwenye mpango wa maendeleo ya ndani ya halmashauri ya Wilaya ya Moshi shule ya msingi Ongoma ilifanikiwa kupokea kiasi cha Tsh. 10,000,000/= (Milioni kumi) ambapo fedha hizo zilipokelewa tarehe 11/09/2025 kupitia account ya  shule ya msingi Ongoma

 

Mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi Ongoma unatekelezwa kwa njia ya ‘force account’ ambapo manunuzi ya vifaa na malipo ya fundi yanafanyika chini ya uangalizi wa kamati ya Ujenzi, Manunuzi na mapokezi kwa kushirikiana na wataalam kutoka Halmashauri.Ujenzi ulianza tarehe 28 Desemba, 2024 na uanatarajiwa kukamilika tarehe 10 Oktoba, 2025.

Ujenzi wa majengo yanayopaswa kujengwa na fedha hizo ipo katika hatua mbalimbali kama ifuatavyo: -

Ujenzi wa vyumba saba (7) vya madarasa ya shule ya msingi na vyumba (2) vya Madarasa ya   shule ya awali Pamoja na ujenzi wa jengo la utawala tayari yameshakamilika.

Ujenzi wa matundu 16 ya vyoo yakiwemo matundu 8 ya msingi, matundu 6 ya awali na matundu 2 ya walimu yote yamekwishakamilika.

Ujenzi wa miundombinu ya kichomea taka (Incinerator), ujenzi wa uzio (fance) bembea pamoja na tenki la maji ya chooni bado havijajengwa ila tayari zabuni zimeshatangazwa, fundi alishapatikana na kwa baadhi ya zabuni zimeshapata watu hivyo mchakato wa usainishaji muhtasari na uandaaji wa mikataba unaendela ili kazi iweze kuanza mara moja

 

Hadi kufikia tarehe 20/11/2025 kiasi cha shilingi 326,835,140.00 kimetumika kununua vifaa vya ujenzi Pamoja na malipo ya mafundi. Kiasi cha shilingi 24,664,860 kitatumika kulipa mafundi na wazabuni. Katika fedha hizi kiasi cha shilingi 8,457,500 kitatumika kulipa mafundi na kiasi cha shilingi 15,300,00 kitatumika kulipa wazabuni. Vile vile kiasi cha Tsh. 10,000,000/= Bado hazijatumika ila zitatumika katika kutekeleza shughuli za ujenzi tu

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU December 31, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDUKA KWA NAFASI YA DEREVA II TAREHE 09.02.2024 February 09, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DC MOSHI AWATAKA VIONGOZI KUWA MABALOZI WA KAZI ZA SERIKALI

    December 02, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KATIKA ZAHANATI YA NJIAPANDA

    November 21, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YAFANYA ZIARA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI NA KUJIFUNZA JUU YA UKUSANYAJI WA WAPATO YA ZAO LA KAHAWA.

    November 17, 2025
  • MAKARANI WA UCHAGUZI WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI NA VUNJO WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO

    October 25, 2025
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.