• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

MAFUNZO YA BIASHARA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

Saturday 7th, June 2025
@UKUMBI WA MIKUTANO HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

Mafunzo ya Biashara kwa Wafanyabiashara katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi yamefanyika leo tarehe 26/09/2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri na kufunguliwa na Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Ndg. David A.Mgonja na mafunzo haya yalihudhuriwa na Wafanyabiashara wapatao 60 kutoka maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi wakiongozwa na Mwenyekiti TCCIA Mkoa Kilimanjaro Bw.Sebastian R.Assenga na Katibu wake Bw.Boniface Mariki pamoja na  Wenyeviti wa Wafanyabiashara kutoka maeneo tofauti ndani ya Halmashauri.

Wafanyabiashara waliohudhuria walipitishwa kwenye mada mbalimbali zikiwemo;

Usajili wa Majengo ya kuuzia Bidhaa za Chakula na Vipodozi na Utaratibu wa kupata alama ya Ubora wa Bidhaa kwa Wajasiriamali wadogo na wakubwa.

Mtoa Mada alikuwa Bw.Hamisi J.Mikonzi kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS)


Fursa na Huduma mbalimbali za kibenki.

Mtoa Mada alikuwa Bi.Beatrice Njau Meneja CRDB Tawi la Mbuyuni – Moshi


Leseni za Biashara na Utaratibu wa kuuza na kusafirisha mazao ya kilimo nje ya nchi na Utaratibu wa kupata cheti cha Uasili wa bidhaa(Certificate of Origin).

Mtoa Mada alikuwa Bw.Sebastian R.Assenga Mwenyekiti TCCIA Mkoa wa Kilimanjaro.


Umuhimu wa matumizi ya vipimo sahihi katika Biashara na Ujasiriamali.

Mtoa Mada alikuwa Bw.Kabeya Bayeke ambaye ni Wakala wa Vipimo(WMA).


Utaratibu wa kupata Alama ya Simbomilia(Barcode).

Mtoa Mada alikuwa Bw.Roman Mnzava kutoka GS1 Tanzania Kanda ya Kaskazini.


Wafanyabiashara walipata wasaa wa kuuliza na kupatiwa majibu kutoka kwa watoa mada.





Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI May 12, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDUKA KWA NAFASI YA DEREVA II TAREHE 09.02.2024 February 09, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MAMA SAMIA LEGAL AID COMPAIGN YAFIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    January 30, 2025
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI

    December 17, 2024
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA VUNJO NA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA MAAFISA WATENDAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    December 04, 2024
  • UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

    October 11, 2024
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.