• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

Wajasiriamali Moshi wahamasika kukata vitambulisho vyao

Posted on: April 8th, 2019

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ndugu Kastori Msigala anaendelea na ziara yake ya siku tatu ndani ya Halmashauri katika kuhakikisha agizo la Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli kuhusu ugawaji wa vitambulisho vya wajasiriamali wadogo wadogo linatekelezwa kikamilifu.

Akizungumza wakati wa ziara yake leo ndani ya kata ya Kahe ndugu Msigala amesema ni jukumu la kila mjasiriamali mdogo kujitokeza na kuchukua kitambulisho cha kumtambulisha rasmi katika shughuli zake za kujiingizia kipato.

Akiwa kata ya Mabogini ndugu Msigala amesema ni jukumu la kila mtumishi ndani ya Halmashauri kuunga mkono na kutekeleza agizo la ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiriamali wote wenye vigezo ikiwa ni pamoja na wenye kipato cha shilingi milioni nne kwa mwaka sawa na kipato cha shilingi 12,000 kwa siku.

Kabla ya kuanza ziara ndugu Msigala amewataka watumishi wote wakiongozwa na wakuu wa Idara na vitengo kutii na kutekeleza agizo la Mhe.Rais sambamba na kasi iliyopo sasa ya ugawaji wa vitambulisho hivyo ili kufikia malengo kwa wakati.

“Kila mjasiriamali mdogo ni lazima awe na kitambulisho.Watumishi wote tuungane kuhakikisha elimu ya kutosha kuhusu vitambulisho vya wajasiriamali wadogo wadogo inatolewa kwa wanaMoshi ili kuleta uelewa wa pamoja.”amesema Msigala.

Mpaka sasa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi inaongoza kimkoa kwa asilimia 52 ya mauzo ya vitambulisho vyote elfu 10 vilivyotolewa kwa awamu mbili kwa ajili ya wajasiriamali wadogo wadogo wa Halmashauri ya Moshi.Aidha kasi ya ugawaji bado inaendelea kwa kuhusisha timu nzima ya watumishi wa Halmashauri .

Matangazo

  • Kuhama kwa ofisi za makao makuu ya Halmashauri November 05, 2019
  • Ujio wa wageni kutoka Ujerumani October 29, 2019
  • TANGAZO LA KAZI May 22, 2019
  • Umezeshaji kinga tiba kwa watoto April 26, 2019
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • "Tuwajibike kwa kiwango cha kutosha katika nafasi zetu"- Mhe. Kippi

    November 12, 2019
  • Uzinduzi wa kitalu cha miti Himo

    October 30, 2019
  • Karibu wageni kutoka Kiel

    October 29, 2019
  • "Maziwa,chakula na pesa"-Mama Mghwira

    October 23, 2019
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.