• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

Michezo ni afya -Mhe.Kilawila

Posted on: November 29th, 2018

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Mhe.Michael Kilawila ameendesha kikao cha Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi katika kikao cha kawaida  kujadili taarifa za robo ya kwanza kwa mwaka fedha 2018/2019. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Moshi ukijumuisha madiwani,wataalam wa Halmashauri ,wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi na  wadau mbalimbali wa maendeleo katika nyanja mbalimbali.

Wakati wa kikao waheshimiwa madiwani walipata muda wa kujadili mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanayogusa Idara mbalimbali ikiwemo elimu,afya,kilimo,utawala na Mapato na Matumizi.

Katika kujadili taarifa mbalimbali Mhe.Emmanuel Mbando diwani wa kata ya Kahe Mashariki aliibua hoja ya michezo kutumika kama zana ya kuwafikia wananchi wa Halmashauri ya Moshi katika kutoa elimu mbalimbali za kimaendeleo.

Hoja ya Mhe.Mbando imeungwa mkono na waheshimiwa madiwani wote,baraza hilo limejadili suala la maboresho katika michezo mbalimbali kwa ngazi zote za kijamii hasahasa shuleni.

Akiunga mkono hoja ya Mhe.Mbando Mhe.Kilawila amesema michezo ni muhimu kwa sababu ina faida nyingi katika maisha ya binadamu. Mhe Kilawila ameainisha baadhi ya faida za michezo kuwa ni pamoja kuimarisha urafiki na mahusiano baina ya mtu na mtu au makundi ya watu hasahasa maeneo ya maofisini.

Aidha Mhe. Mwenyekiti amesema michezo huunganisha watu na kuimarisha amani kwa wahusika katika eneo husika,Sambamba na hilo ameongeza kuwa michezo  huondoa msongo wa mawazo kwa watu na ni fursa ya ajira hasahasa kwa vijana.

Aidha Mhe.Kilawila amewataka waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Moshi kuhamasisha jamii juu ya masuala ya michezo na faida zake kila mmoja katika eneo lake sambamba na kuboresha miundo mbinu mbalimbali ikiwemo viwanja vya michezo na kuwataka kutosubiri serikali ifanye kila kitu. “Tusisubiri serikali ifanye kila kitu,TUTACHELEWA, hamasa ya michezo shuleni na katika jamii nzima ya Moshi ni LAZIMA.” Amesema Mhe.Kilawila.

Afisa utamaduni na michezo wa Wilaya ya Moshi ndugu Shaaban Ngume amesema Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ipo katika mpango wa kurudisha kasi ya michezo iliyokuwepo awali hivyo uhamasishaji kwa ngazi ya jamii na shule unaendelea.

Ndugu Ngume ameuhabarisha umma wote Moshi uwepo wa tamasha la wachaga “chaga festival” kwa  mwezi Disemba 2018, na kuwataka wananchi wote wa Moshi kuhudhuria na kula pamoja vyakula vya asili kama ishara ya kuenzi tamaduni zetu na pia mwanzo wa kutengeneza mipango mbalimbali ya kimaendeleo ikiwemo michezo.

Matangazo

  • Kuhama kwa ofisi za makao makuu ya Halmashauri November 05, 2019
  • Ujio wa wageni kutoka Ujerumani October 29, 2019
  • TANGAZO LA KAZI May 22, 2019
  • Umezeshaji kinga tiba kwa watoto April 26, 2019
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • "Tuwajibike kwa kiwango cha kutosha katika nafasi zetu"- Mhe. Kippi

    November 12, 2019
  • Uzinduzi wa kitalu cha miti Himo

    October 30, 2019
  • Karibu wageni kutoka Kiel

    October 29, 2019
  • "Maziwa,chakula na pesa"-Mama Mghwira

    October 23, 2019
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.