• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

Maafisa elimu Moshi waibuka kidedea taifa

Posted on: November 29th, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Moshi yapata sifa  katika sekta ya elimu nchini Tanzania kutokana na uwepo wa shule nyingi zaidi za msingi na sekondari kuliko Halmashauri nyingine yoyote nchini Tanzania.Halmashauri ina jumla ya shule za msingi 274 na shule za sekondari 98 zinazoongozwa na kusimamiwa na maafisa elimu wawili tu, Afisa elimu msingi na Afisa elimu sekondari.

Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Mbunge wa Vunjo Mhe.Mbatia amepongeza kazi kubwa inayofanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kupitia idara ya elimu kwa kuwa na matokeo mazuri pamoja na changamoto ya uwingi wa shule wanazozisimamia na uchache wa watumishi waliopo sasa.

Aidha Mhe.Mbatia amelitaarifu baraza kuwa hali ya Halmashauri ya Moshi kuwa na shule nyingi zinazoongozwa na watumishi wachache imekuwa ikiwastaajabisha wengi maeneo mbalimbali nchini hata kupelekea kutaka kuja kujifunza namna Halmshauri inavyofanikiwa. Sambamba na hilo Mhe. Mbatia amesema aliongea na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa kuhusu suala hilo na Mhe.Majaliwa ameahidi kuja kutembelea Halmashauri ya Moshi kuona utendaji na ufanisi huo wa kuvutia ndani ya Idara ya elimu Moshi. 

Matangazo

  • Kuhama kwa ofisi za makao makuu ya Halmashauri November 05, 2019
  • Ujio wa wageni kutoka Ujerumani October 29, 2019
  • TANGAZO LA KAZI May 22, 2019
  • Umezeshaji kinga tiba kwa watoto April 26, 2019
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • "Tuwajibike kwa kiwango cha kutosha katika nafasi zetu"- Mhe. Kippi

    November 12, 2019
  • Uzinduzi wa kitalu cha miti Himo

    October 30, 2019
  • Karibu wageni kutoka Kiel

    October 29, 2019
  • "Maziwa,chakula na pesa"-Mama Mghwira

    October 23, 2019
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.