• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

Kamati ya fedha Moshi DC yatembelea miradi

Posted on: August 1st, 2019

Kamati ya fedha ,uongozi na mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi inaendelea na usimamizi madhubuti wa miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya Halmashauri.Kamati hiyo imefanya ziara katika kata ya Arusha chini na Kahe kukagua miradi ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi 170,000,000 ya kitanzania.

Mradi wa shule ya sekondari Langasani ni moja kati ya miradi minne iliyotembelewa.Shule hii ni mojawapo ya shule zilizopokea fedha kutoka serikalini za EP4R (lipa kutokana na matokeo) kutokana na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018.Halmashauri ya Moshi ilishika nafasi ya 13 kati ya Halmashauri 145 Tanzania zilizofanya mtihani.Shule ilipokea kiasi cha shilingi 121,600,000 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mawili,bweni moja na matundu sita ya vyoo.

Shule ipo kata ya Arusha chini,kijiji cha Mikocheni,ilianzishwa mwaka 1995 ambapo mpaka sasa ina jumla ya wanafunzi 826 ,wavulana 327 na wasichana 499 kati yao 137 ni wasichana wa kidato cha tano na sita.

Miradi yote ya shule hiyo iko katika hatua za umaliziaji.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Kaimu Mwenyekiti wa kamati fedha,uongozi na mipango Mhe.Emmanuel Mnzava amepongeza jitihada zinazofanywa na timu nzima ya watendaji wa Halmashauri kwa kufanikisha miradi hiyo kufikia hatua nzuri iliyopo sasa mbali na changamoto mbalimbali ikiwemo hali ya hewa iliyoambatana na mvua nyingi na upungufu wa fedha zilizojitokeza wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.  

“Mradi huu tulitegemea ukamilike tarehe 30/07/2019 lakini kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo hali ya hewa iliyoambatana na mvua nyingi na upungufu wa fedha,mradi uko katika hatua nzuri japo bado tunahitaji nguvu za wananchi zaidi.Tunaishukuru serikiali kwa fungu lakini bado sisi wananchi wa Moshi hasahasa wa kata ya Arusha chini ambako mradi upo, tuchangie kwa hali na mali kufanikisha miradi yenye manufaa kwetu inakamilika kwa haraka.”amesema Mhe.Mnzava

Aidha kamati imetembelea eneo la mradi wa soko la Mikocheni na vyoo vya umma vilivyomo ndani ya kijiji cha Mikocheni kata ya Arusha chini.

“Nasisitiza tuongeze mawasiliano ya karibu na ushirikishwaji kwa viongozi wote kuanzia ngazi ya vitongoji ,vijiji na kata ili miradi yetu yote iweze kukamilika kwa wakati na kuleta manufaa kwa jamii yetu yenye uhitaji” amesema Diwani wa kata ya Arusha Chini Mhe. Rojas Mmari.

Kamati imepongeza timu nzima ya Halmashauri kwa kuendelea kutumia nguvu kazi za wenyeji “force account” katika miradi yote inayoendelea kutekelezwa ndani ya Halmashauri kwa lengo la kupunguza gharama zinazoweza kuepukika na kupata matokeo mazuri ambayo yatakuwa fahari ya wenyeji na taifa kwa ujumla.

Matangazo

  • Kuhama kwa ofisi za makao makuu ya Halmashauri November 05, 2019
  • Ujio wa wageni kutoka Ujerumani October 29, 2019
  • TANGAZO LA KAZI May 22, 2019
  • Umezeshaji kinga tiba kwa watoto April 26, 2019
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • "Tuwajibike kwa kiwango cha kutosha katika nafasi zetu"- Mhe. Kippi

    November 12, 2019
  • Uzinduzi wa kitalu cha miti Himo

    October 30, 2019
  • Karibu wageni kutoka Kiel

    October 29, 2019
  • "Maziwa,chakula na pesa"-Mama Mghwira

    October 23, 2019
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.